Monday, October 27, 2014

WAMELODY CLASSIC FT AMINI - SIKUELEWI [Audio]


RUDE RODGERS - SINA HABARI NAO [Audio Link]

Watoii Wa TZ - Nna HIV [Audio]

Bofya HAPA http://hu.lk/tjc2h8zflz40  kupakua wimbo wa Watoii Wa TZ kwa Jina "Nna HIV" ikiwa imefanywa pande za Noizmekah Studios na kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na Watoi wa Tz aka Machokoraa kwa nambari +255 763 765 130 au +255 684 630 730 powered by www.vmgafrica.com

Bang Fellaz ft Def Xtro - Binti Majengo [Audio]

Bofya HAPA  http://hu.lk/xkzmi6et66m8 kupakua wimbo wa "Bang Fellaz" toka Kilimanjaro Moshi wakiwa wamemshirikisha Defxtro katika ngoma kwa jina "Binti Majengo" vocal na mixing zikiwa zimefanyika pande za Noizmekah Studios Arusha, na kwa mawasilano/Mahojiano zaidi check na Bang Fellaz kwa nambari +255 657 682 461 au +255 653 687 158 powered by www.vmgafrica.com

Head Fire -Kifo ndio Mlango mkuu [Audio]

Bofya HAPA http://hu.lk/6uoyzn3ezi4g  kupakua wimbo wa "Head Fire" kwa jina la "Kifo ndio Mlango mkuu" ikiwa ni HipHop category kazi toka Noizmekah Studios Arusha, na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na Head Fire kwa nambari +255 713 000 643 powered bywww.vmgafrica.com

Franco ft Lavosti - Hatua [Audio]

Bofya HAPA  http://hu.lk/w03d6atl3o5c kupakua wimbo wa "FRANCO" toka Konekt Project Arusha akimshirikisha Lavosti katika Ngoma kwa jina "Hatua" ikiwa ni HipHop category toka Noizmekah Studios Arusha, kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na FRANCO kwa nambari +255 718 485 681 powered by www.vmgafrica.com

4S ft Darasa - Time Hii [Audio]

Bofya HAPA  http://hu.lk/illjw8kf4tmo kupakua wimbo wa "4S toka kundi la MRG pande za Mrangu Moshi akimshirikisha Rapper Darasa na ngoma ni HipHop Category kwa jina "Time Hii"  ikiwa ni beat toka AM Recs na mixing kufanyika pande za Noizmekah arusha,kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na 4S kwa nambari +255 757 511 287 powered by www.vmgafrica.com

King Boy ft Paradise - Mautundu [Audio]


Uraia katika Jamhuri ya muungano wa Tanzania kutoka katika Rasimu ya katiba inayopendekezwa [Habari]

Uraia wa Jamhuri yaMuungano

65.-(1) Mtu ambaye, kabla ya Katiba hii kuanza kutumika, ni raia wa Jamhuri ya Muungano ataendelea kuwa raia wa Jamhuri ya Muungano.
(2) Uraia wa Jamhuri ya Muungano ni wa aina mbili na utapatikana kwa njia ya kuzaliwa au kuandikishwa.
Haki ya uraia 66. Kila raia ana haki ya kutambuliwa uraia wake na kwa madhumuni haya, mamlaka ya nchi itaweka utaratibu wa sheria utakaowezesha raia kupata hati ya kuzaliwa, kitambulisho cha uraia wake bila ya upendeleo na ubaguzi wa aina yoyote, na pale inapohitajika, nyaraka za kumwezesha kusafiri.
Uraia wa kuzaliwa
67.-(1) Kila mtu aliyezaliwa Tanzania Bara au Zanzibar atakuwa raia wa kuzaliwa wa Jamhuri ya Muungano iwapo, wakati wa kuzaliwa, mama au baba yake ni, au alikuwa raia wa Jamhuri ya Muungano.
(2) Kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii, mtu aliyezaliwa nje ya Tanzania atakuwa ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa kuzaliwa kuanzia tarehe ya kuzaliwa kwake ikiwa mama au baba yake ni raia wa Jamhuri ya Muungano.

WAWEKEZAJI WA KIGENI WATUPIWE JICHO NA SHUGHULI ZAO [Habari]

Baadhi ya wawekezaji wa kigeni au pengine watumishi raia wa kigeni wamekuwa
wakivunja sheria za nchi kwa kujiingiza au kufanya shughuli zisizo katika miktaba yao
 ya kazi,au nje ya vibali vyao vya kufanyakazi hapa nchini Tanzania,lakini uvunjwaji wa sheria za nchi unaofanywa na wageni hawa unasaidiwa na sisi wenyewe kwa kuzingatia
zile mila zetu na misemo ya ah !  "MGENI WA MUNGU HUYU" mwache ajitafutie riziki.
Matokeo yake tumekuwa na wachoma mahindi mtaani kutoka china,wabeba zege pia,
Kumradhi pengine makahaba au changudoa kwenye madangulo ya siri.

Tunaweza kuwa na wakaanga samaki, walinzi "Kolokoloni" kutoka Thailand na Bangladesh,
inawekana kabisa tunao hapa nchini wapishi na tour guider kutoka nchi za ulaya !
Kwa mtindo na utamaduni wetu huu wa ah! wache "WAGENI WA MUNGU " wajitafutie ridhiki   tutajikuta tunao akina mama ntilie wakigeni.

Tunajiuliza wale wawekezaji wanajiusha na biashara za mitumba au maduka ya nguo kariakoo hivi vibali aliwapa nani? yaani muuza mtumba na duka la sukari atoke china,Yemen,Bangladesh ulaya ! hii kweli inaingia akilini kwa watanzania?
Sasa wawekezaji hawa kigeni wanafanya shughuli hizi mcha wa jua kali tena kweupe
Mkondo wa sheria ya nchi unavunjwa walinzi wa sheria wako wapi?

Wizara zinazohusika amlioni hili au ndio ah! TUWAACHE WAGENI WA MUNGU wajitafutie ridhiki ?  Watanzania ukarimu ni jadi yetu !misemo hii haifanani kabisa
na ukiwikaji wa sheria za uhamiaji na ajira za nchi, kwani katu kwame uruma na
haki havikai pamoja.

Saturday, October 25, 2014

Viva Conscious - 91 (Written Freestyle) [Audio]


GWANDA ZA KAMANDA RAS MAKUNJA HAZIFANANI NA ZA JESHI LA TANZANIA [Habari]

Gwanda za mkuu wa kikosi cha FFU-ughaibuni Kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band ambaye pia ni mmliki wa himaya ya Viumbe wa ajabu "Anunnaki Empire" yenye makao yake kule Ujerumani,gwanda za mkuu huyo hazina uhusiano wowote na JWTZ,na zoezi linaloendeshwa hapa bongo la kuwasaka wasanii wenye
mavazi ya kijeshi ,kamanda Ras Makunja na kikosi chake haliwahusu kwani wao wanaishi nje ya mipaka ya Tanzania,lakini kama ingekuwa wanaishi hapa labda ndio...


Habari zimetonya kuwa mwanamuziki huyo nyota wa kimataifa anayetamba na Bongo Dansi lake kule Ughaibuni Ras Makunja anakijua nini anachokifanya na pia anaheshimu sheria za nchi yake Tanzania kwani gwanda zake uzivalia nje ya mipaka ya Tanzania ,na anapokuja Tanzania kwa likizo yeye ni raia mwema tu vianzo vya habari vimetonya.mwanamuziki mwingine mwenye gwanda za kutisha katika kikosi cha Ngoma Africa band ni Soloist wa bendi hiyo Christian Bakotessa aka " Afande Chris-B Mshenzi wa solo gitaa" hawa jamaa wanatishaga kule ughaibuni majukwaani wao kuvaa gwanda ni kitu cha kawaida ulaya tena wakisindikizwa na ulinzi wa maaskari wa ulaya ! watupie jicho kambini kwao