Top Ad unit 728 × 90

First Godfrey ft Kalla Jeremiah - Suprise

Mimi Ni First Godfrey hii ni ngoma yangu ya kwanza baada ya kumaliza shindano la EBSS Bongo Star Search 2013 imetoka rasimi mtandaoni na kwenye vituo mbalimbali vya matangazo/habari nimeamua kufanya nyimbo hii na Kalla jeremiah kwa sababu 1, mtu ambae ananivutia frow yake pia 2, anaelewa anafanya nini kwenye game hii ya sasa 3,wote ni washiriki wa (EBSS) Bongo star Search mpaka sasa hakuna washiriki waliokaa na kufanya nyimbo moja kwa pamoja;
 
Song: Surprise
Artists: First Godfrey ft Kalla Jeremiah
Producer; C91
Studio; Spirity
Year: 2014
 
First Godfrey Contacts:
+255768 943 797
+255716 982 612

First Godfrey ft Kalla Jeremiah - Suprise Reviewed by Unknown on Saturday, April 19, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.