Top Ad unit 728 × 90

Viva Conscious New Report Kuhusu New Release ft Stamina and Deddy [News]

 
A Hip Hop Mc ,Viva Conscious toka De FatalityMusic Chini ya Mesen Selekta
Hivi karibuni Anatarajia Kuachia wimbo wake Mpya Ambao Amshirikiana na Stamina  Pamoja na Deddy ambao umeandaliwa na Mesen Selekta ambayo Baada ya kuachia Video yake Mwaka Jana ambayo iliowashirikisha  Rapper  Burney Mc Toka Uganda na Willy Fololo toka kenya ambayo ilifanywa ndani ya nchi Tatu Tanzania , Sweden na Denmark.
 Viva conscious (Tz) ft Burney Mc(Uganda) and Willy Fololo(Kenya) Video Ipo Hapa http://youtu.be/_3byYi9Ijzg
Pia Ilifanikiwa kuingizwa katika Mixtape ya Hip Hop Kemp 2013 Vol.6 http://www.mixcrate.com/hughjazzist/hip-hop-kemp-2013-promo-mini-mix-vol-6-747876 ambayo ndani yake kwenye col3 na 4 alikuwepo Rapper Kendrick lamar wa Marekani

na Pia kupewa nafasi ya Juu kutambuliwa na Radio Maarufu ya Jamhuri ya Czech ijulikanayo kama SPIN RADIO 93.6.
Unaweza ukaangalia Video ya Interview inayoonyesha utambulishwaji wa wimbo huo almaarufu kama EAST AFRICAN METAPHOR https://www.youtube.com/watch?v=_jZjeGYeG_k

Pia Kutangazwa kuingia katika Mpango wa Kuangaza Amani Duniani kupitia Mradi wa Raisi wa Israel Shimon Peres unaoitwa kama RAY OF HOPE Ambao ndani ale ameingizwa yeye na Producer Mesen selekta .. Video ipo Hapa https://www.youtube.com/watch?v=B1hK_Ia0dys
Ndani ya mwezi huu wa Septermber anatarajia Kuachia wimbo wake mpya ambao ni wimbo unatoa fikra pana kwa Vijana wa Kitanzania juu ya mambo mbali mbali ya nchi yao.
COMING SOON : VIVA FT STAMINA AND DEDDY Prodcued by Mesen Selekta
Contacts : +255713259377  , Email Vivamusic4@gmail.com  or Defatalitymusic@gmail.com
Visit his Pages on www.Instagram.com/VivaJoseph also www.Facebook.com/JosephViva and www.Twitter.com/Vivaconscious and Dont forget His Music on www.Reverbnation.com/Vivaconscious and Lyrics Site www.RapGenius.com/Vivaconcious
Viva Conscious New Report Kuhusu New Release ft Stamina and Deddy [News] Reviewed by Unknown on Saturday, September 20, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.