Top Ad unit 728 × 90

YP wa TMK Afariki Dunia [Breaking Newz]

Msanii YP aliyekuwa kundi la TMK Wanaume Family amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Temeke ambapo alikuwa akipata matibabu.

Kiongozi wa TMK Fella amethibitisha taarifa hizo na kusema kuwa ratiba kamili ya msiba itatolewa rasmi na ndugu zake mchana wa leo. marehemu YP alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kifua kwa muda mrefu sasa hadi kufikia usiku wa kuamkia leo ambapo Mungu aliichukua Roho yake.

Pole kwa familia nzima na tasnia nzima ya Muziki Tanzania
Mungu Amlaze Pema YP...
YP wa TMK Afariki Dunia [Breaking Newz] Reviewed by Unknown on Tuesday, October 21, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.